DUH! AISEE KUMBE ERUPTION NIGHT NI NOMA...!!!


URBAN PULSE CREATIVE ikishirikiana na DJ SILVER inakuleta ERUPTION NIGHT Party iliyofanyika katika mji wa Swindon ndani ya club ya Ukweli Liquid & Envy hivi karibuni ikiwashirikisha madjz wa nguvu akiwepo DJ kutoka BBC 1xtra Young Lion, Dj Silver,Ritchie Kutoka Bongo Deejayz, 
Paul Carrol,GK,Supa,Collo,JadaFunk&2badd.

Pia kulikuwa na LIVE PA kutoka kwa AJ Live,Zeeks,Daine,Danny G,A.Y.S na Lynx

PARTY  inayofuatia itafanyika tarehe 26.8.2011 hapa hapa Mjini Swindon ndani ya Ukumbi wetu Ule ule 
wa LIQUID & ENVY 1 HAVELOCK SQUARE, SWINDON, SN1 1LE. Wasanii Wakubwa BREAKBEAT(UKSP) Na Lady Leshur wataporomosha bonge la show kwa kukamua kwa kwenda mbele.

Advance Ticket ni £5.00 zinapatikana kwa kupiga simu 0777924605

Asanteni,

URBAN PULSE CREATIVE

Comments