KARIBU KATIKA IBADA MAALUM READING...!!!

Unakaribishwa katika ibada maalum ya maombi, mahubiri na nyimbo za injili itakayo fanyika Jumamosi tar. 27.08.2011 kuanzia saa 7:30 mchana, hapo New Vincent's Restaurant, 288-290 Oxford Road, Reading. 
'...Kwa maana Bwana, Mungu wako, yeye ndiye anaekwenda pamoja nawe, hata kupungukia wala kukuacha.' 
Kumbukumbu la Torati. 31:6.  
Karibu ili ubarikiwe!

Comments