MAMBO YA FUTARI YA UKWEE'....!!!

 Viazi
 Maharagee
 Chapatii
 Samaki wa chuku chuku
 Tandoooor kuku.
 Kitu cha nyanya chungu(ngogwe)
 Bagia na chutney
 Sambusaaaaa
 Ndizi mzuzu
 Tende
 Muhogo wa nazi
 Vipopooooo
Cake
Juice ya passion balaaaaa
Futar ya ukwee' karibuni

Mapishi yote na Mbagamoyo asili Bi Malaikat Fey aka Mrs Issu Frsich

Comments

  1. mmmh yaani si mchezo natamani ningekuwepo hapo.

    ReplyDelete
  2. mashallah hayo mahanjumati ya kimaukweli..

    ReplyDelete
  3. Mmmmmmh futar ya ukweeee na imekamilika haswaaa.

    ReplyDelete

Post a Comment