WAREMBO MISS TANZANIA WASHIRIKI SIKU YA MICHEZO, UFUKWE WA JANGWANI SEA BREEZE...!!!

 Warembo wakiendelea kufanya mazoezi kama wanavyo onekana
 "Mpaka Chini Twende bado....kidogo......" Acha uvivu hapo wewe.....
 "Hawaniwezi hao bado watoto wadogo kwenye riadha"
 Hapa alianza na mwezie chini kamaliza nani mshindi?
Hapa Mrembo akijitahidi kuruka ili kuweza kushinda katika shindano la kuruka
Hapa Mrembo akijitahidi kuruka ili kuweza kushinda katika shindano la kuruka
 Warembo Wa Vodacom Miss Tanzania 2011 wakishindana kukimbia na magunia katika bonanza lao leo
 Wakifanya mazoezi ya viungo warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2011.
Mrembo huyu aliruka na kubinuka sarakasi kama unavyomuona katika picha
Picha Na Dina Ismail/John Bukuku

Comments