BAADHI YA VIONGOZI WA ZAWA,TANZ-UK NA JESTINA GEORGE WAKISIGN KITABU CHA MAOMBOLEZO UBALOZI WA TANZANIA LONDON...!!!
Kitabu cha maombolezo
Mwenyekiti wa ZAWA Zaharani akisign kitabu cha maombolezo
Jestina George akisign kitabu cha maombolezo
Kaimu Katibu TA London Salim Amar akisign kitabu cha maombolezo
Mwenyekiti wa TANZ-UK London Said Surur akisign kitabu cha maombolezo
UBALOZI UTAKUWA WAZI KWA WATU WOTE SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 17 SEPTEMBA KUANZIA SAA NNE ASUBUHI
(10.00am - 2.00pm) MPAKA SAA NANE MCHANA KWA AJILI YA KUSIGN KITABU CHA MAOMBOLEZI.
Comments
Post a Comment