Jumuiya ya Watanzania Uingereza leo wamejumuika East london katika msikiti wa Manor Park kuombea dua ndugu zetu waliotutangulia mbele ya haki katika ajali ya Meli pwani ya Nungwi huko Zanzibar. Hafla hii imeandaliwa na Zanzibar welfare community kwa pamoja na East Africa Foundation.
Wanajumuiya kwenye hafla hiyo
Dua kwa waliotutangulia mbele ya haki na kuwaombea waliojeruhiwa wapate nafuu haraka. Picha na Ayoub Mzee
Comments
Post a Comment