Faru Arts and Sports Development Center Grand Opening Ceremony in Dar es Salaam Tanzania Africa. Each of the youth worked hard to show off their talents in Acting, Drama, Singing, Dancing, Music, Painting, Drawing, and Football. Visit the FASDO website for more information,http://www.fasdotz.org
*******************************************
Faru Arts and Sport Development Organization (FASDO) yenye makao yake Tandika mtaa wa Sambwisi. Taasis yetu ni mpya iliyoanzishwa mwaka 2009 taratibu tumeweza kufanya kazi na vijana ambao sasa idadai yao ni 185. Mwezi wa July mwaka huu tuliweza kuizindua rasmi kama inavyoonekana katika video hii. Wageni rasmi walikuwa ni Hon. Senator Jackie Winters, Oregon State of America na TEMEKE District Commissioner Ms Chiku Galawa. Website yetu ni www.fasdotz.org
Comments
Post a Comment