KAJUMULO WORLD SOCCER KUTENGENEZA VIATU VYA KUKIMBILIA VYA WANARIADHA WA KENYA...!!!

Alex Kajumulo akiwa katika picha nchini Kenya baada ya kumaliza ziara yake nchini humo.
KAJUMULO WORLD SOCCER USA ITATENGENEZA VIATU VYA KUKIMBILIA KWA KUTUMIA JINA LA MWANA RIADHA WA KENYA ALIYE STAAFU. VIATU HIVYO VITAANZA KUA KWENYE MASOKO KABLA YA MICHEZO YA OLIMPIKI MWAKA KESHO NA VITATUMIWA NA BAADHI YA WAKIMBIAJI WA KENYA KWENYE MASHINDANO YA OLIMPIKI MWAKA KESHO YATAKAYO FANYIKA NCHINI UINGEREZA. 

Comments