Uongozi wa Shule za Marian Bagamoyo unawakaribisha wote kwenye Fundraising hii ya Kujenga na kuendeleza Shule hizi.
Mgeni Rasmi atakuwa Mhe. Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba
Wazazi,wanafunzi wa zamani,wenyeji wa Bagamoyo na wote wale wenye Mapenzi mema mnakaribishwa sana sana SEPTEMBA 4, 2011 ukumbi wa Diamond Jubilee Hall jijini Dar es salaam saa Moja jioni.
Asanteni!
Comments
Post a Comment