Miss Universe Tanzania 2011, Nelly Kamwelu pre-tapes in her National Costume onstage at Credicard Hall on September 7, 2011. She is preparing to compete in the 2011 MISS UNIVERSE® Competition on September 12 at 9:00 p.m. ET broadcast LIVE on NBC from Credicard Hall in São Paulo, Brazil. Vote for Nelly into the semifinals on http://www.missuniverse.com/members/profile/599572/year:2011 keep voting for Nelly Alexsandra Kamwelu ...
Costume designed by Diana Magessa from Morogoro.
Vazi la ubunifu la kitaifa limebuniwa na kutengezwa na mbunifu mahiri wa Morogoro Diana Magessa ambaye alitumia rasilimali ya kipekee ya bati na ngozi pamoja na nakshi ya shanga na bati za kimaasai. Mbunifu huyu alieleza kuwa vazi hili alilibuni kwa kuangalia mavazi ya wapiganaji wa kale na pia mnyama aina ya “Nungunungu” ambaye hutumia ngozi yake yenye miiba kujihami na maadui. Mrembo Nelly alifurahia vazi lake akisema “Unajua huko ni kama unakwenda vitani, na hii nguo inanipa moyo sana najisikia faraja kubwa kuvaa vazi hili”
Comments
Post a Comment