MZIMU WA BONGO DANSI UMEANZA KUTISHA NCHINI SEIRRA LEONE!



Magezeti ya Seirra Leone yameitaja kuwa bendi bora ya kiafrika barani Ulaya!
 Wananchi wa Seirra Leone,Afrika magharibi  wamejikuta wakikosa usingizi na kushikwa na ugonjwa kupenda mdundo wa mziki wa dansi kutoka Tanzania maarufu kama "Bongo Dansi" baada ya vituo vya redio vya nchi hiyo kuanzakupiga nyimbo za bendi maarufu ya dansi barani ulaya "Ngoma Africa Band " aka FFU,pia magezeti ya Seirra Leone kama yanavyoandika  http://www.sierraexpressmedia.com/archives/29981

Comments

  1. ngoma africa band aka ffu au watoto wa mbwa ,baabu kubwa muziki wenu unatisha

    ReplyDelete

Post a Comment