SALAM ZA RAMBIRAMBI KUTOKA ESACARGO...!!!

Kwa niaba ya   kampuni ya usafirishaji Eastern and Southern Africa Cargo Ltd iliyopo nchini uingereza imesitushwa sana imesikitika sana na kuwapa pole watanzania wenzetu wa zanzibar kwa msiba mkubwa uliolikumba taifa. Sisi wafanyakazi tulio hapa tunaungana nanyi  kwa pamoja katika wakati huu mgumu na  pia tuko tayari kushirikiana kwa hali na mali kuwafariji ndugu na jamaa kwenye msiba huu.
                                         
Bernard Chisumo (C.E.O)

Let's maintain high level of discipline ! Zero tolerance policy on abusive language!

Comments