SHOW YA KANGA YA ASYA IDAROUS KHAMSINI APAGAWISHA GALA DINNER, NORTH CAROLINA...!!!

Mh Balozi Mwanaidi Maajar(kulia) akifuatilia kwa makini showa ya mavazi ya mwanamitindo Asya Idarous Khamsini i;iyofanyika Jumamosi Sept 3,2011,Durham,North Carolina,Nchini Marekani kwenye Gala Dinner iliyoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania waishio huko
Mwanamitindo Asya Idarous Khamsini (kati) akitambulishwa na MC siku ya Gala Dinner iliyofanyika Durham,North Carolina,Nchini Marekani
Model akipita na moja ya kivazi cha mwanamitindo Asya Idarous Khamsini
Model akipita kwa madaha mbele ya wanajumuiya wa NC
Model akionyesha vazi la shati lilishonwa maridadi na mwanamitindo Asya Idarous Khamsini

Kwa picha zaidi bofya continue reading below>>>>>




















Picha kwa hisani ya: Vijimambo

Comments