URBAN PULSE YAWALETEA: TAARIFA YA WAWAKILISHI KUTOKA BUNGE LA VIJANA...!!!

Salam,
Baada ya kutoka kwenye Bunge La Vijana lililokwisha mapema mwezi huu Urban Pulse ilikutana na Wawakilishi wetu Linda na Lucy ili kufanya Tathmini  kujua mambo gani waliojifunza pamoja na Changamoto Mbalimbali zinazowakabili vijana.
Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE

Comments