URBAN PULSE YAWALETEA: TAMASHA LA KUMUENZI HAYATI DK. REMMY ONGALA...!!!

Aziza Machozi Ongala na mumewe Miael McGeachy, mzawa wa Jamaika, wakiongea na Urban Pulse na Freddy Macha kuhusu shughuli zao kuimarisha kumbukumbu na kazi za mwanamuziki Remmy Ongala aliyefariki Desemba 2010, mjini Dar es Salaam.
Mahojiano yalifanywa  katika Ubalozi wa Tanzania, London.


Asanteni,

URBAN PULSE CREATIVE Wakishirikiana na Freddy Macha

Comments