WANAUME WAVAMIA MJI WA READING...!!!

 Mwenyekiti wa CCM Maina Owino akila pozi na Joel Chacha
 Wanaume wakikandamiza msosi
 Nguna ndo hii
 Temba na Chege wakijiandaa kwa game
 Temba akila timing
 Chege akikomalia game baada ya msosi
 TMK wakiwa katika pozi na wadau Vincent
Kutoka kushoto Temba, Hungaz, Chege, Riziki, Maina Owina (Mwenyekiti wa CCM) na George wakiwa katika pose
***************
Salam,

Urban Pulse Inawaletea Picha za matukio ya ziara Fupi waliofanya wanaume TMK Chege na Mh Temba katika Mji wa Reading wakiongozana na mapromota wao. Kama ilivyokuwa ada kituo cha kwanza kilikuwa ndani ya Mgahawa Vincent ili kuweza kukutana na wabongo vilevile kupata msosi wa ukweli wa kibongo. Mwenyekiti wa CCM nchini Uingereza Maina Owino alipata Fursa ya kuongea nao na kubadilishana habari pamoja na wadau wengine waliofika. 

Baada ya msosi TMK walicheza gemu la pool na kutoka ngoma ndroo

TMK watafanya makamuzi ya ukweli hapa Reading ndani ya ukumbi wa facebar jumamosi tarehe 10 septemba 2011,  Link ya promo yao bonyeza hapo chini
usikose

Asanteni

URBAN PULSE CREATIVE



Comments