DEO NJIKU AJIANDAA KUMKABILI JONAS SEGU WIKI IJAYO...!!!


 Bondia Deo Njiku akifanya mazoezi ya misuri ya tumbo kwa kutumia viaa vya kisasa kwa ajili ya  kujiandaa na mpambano wake wa ubingwa zidi ya Jonas Segu wa Dar es Salaam  litakalofanyika Uwanja wa Jamuhuri Morogoro wiki ijao.(picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
 Kocha wa Mchezo wa ngumi, Boma Kilangi (kushoto) akimsimamia mazoezi bondia Deo Njiku wa Morogoro wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano wake wa ubingwa zidi ya Jonas Segu wa Dar es Salaam  litakalofanyika Uwanja wa Jamuhuri Morogoro wiki ijao. (picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)



Comments