Na Imelda Mtema (GPL)
NDOA ya kifahari iliyofungwa kwa mbwembwe nyingi na kuweka rekodi ya aina yake kwa mastaa wa sinema za Kibongo kati ya Irene Pancras Uwoya (pichani) na msukuma kabumbu wa Kimataifa wa Rwanda, Hamad Ndikumana ‘Kataut’ imevunjika, ndoa hiyo imepinduka usiku wa Jumapili kufuatia kushindwa kuvumiliana kama walivyoahidiana siku ya kufungwa kwa ndoa hiyo.
Soma zaidi hapa
Uwoya nakupa hongera maana MAPENZI HAYALAZIMISHWI. Bora umejiondokea mdogo wangu kuliko kuishi bila furaha kisa umeolewa. Mama sie anayeishi na Ndikumana ni wewe ndio wajua chungu na tamu ya hiyo ndoa.
ReplyDelete