RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOTEMBELEA KITENGO CHA MAGONJWA YA FIGO MUHIMBILI...!!!

 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na madaktari bingwa wa kutoka India walio nchini kwa ziara ya kikazi ya wiki moja katika kitengo cha tiba ya figo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam Jumamosi jioni
 Rais Jakaya Kikwete akimsalimu na kumpa pole mtoto Ali Abdul kutoka Rufiji, Mkoa wa Pwani, aliyefanyiwa upasuaji wa kuzibua mshipa wa damu ulioziba  aliofanyiwa na madaktari bingwa wa kutoka India walio nchini kwa ziara ya kikazi ya wiki moja katika kitengo cha tiba ya figo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam Jumamosi jioni.
 Rais Jakaya Kikwete akiongea na madaktari bingwa wa kutoka India walio nchini kwa ziara ya kikazi ya wiki moja katika kitengo cha tiba ya figo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam Jumamosi jioni
Rais Jakaya Kikwete akwa katika picha ya pamoja  na madaktari bingwa wa kutoka India walio nchini kwa ziara ya kikazi ya wiki moja katika kitengo cha tiba ya figo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam Jumamosi jioni - Picha na Ikulu

Comments