URBAN PULSE YAWALETEA: MAHOJIANO MAALUMU KUTOKA KWA MH WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA...!!!
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Salam,
Wakati tunapokuwa tunajiandaa kuelekea katika sherehe za miaka 50 ya uhuru Urban Pulse Creative watakua wanakuletea mtiririko wa Mahojiano maalum kutoka kwa Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda ili kutuelimisha na kutupatia changamoto mbalimbali zinazozikabili taifa letu.
Comments
Post a Comment