ALICHOKIUNGANISHA Mungu, mwanadamu hawezi kukitenganisha! Hatimaye lile muvi la mwaka lililochukua nafasi wiki iliyopita la kuvunjika kwa ndoa ya Irene Pancras Uwoya na Hamad Ndikumana ‘Kataut’, limemalizika kwa uzuri, wapendanao hao wamerudiana, wangu (Uwoya) kwa sababu alinidhalilisha sana kusema hakuwahi kunipenda.
Soma habari kamili hapa
full drama.jamani kuigiza hadi kwenye maisha ya ukweli khaa!
ReplyDelete