Chalres Baba Akila pozi
Baby Tall
Golden Lounge
Frank na Chalz Baba baada ya kukagua ukumbi
Chalz Baba akiwa katika pose na Diego na Fadhil Chief Igwe wa Milton Keynes
Chief Igwe wa MK na Diego wakiwa katika pose na vimwana
Maria na Baby Tall ndani ya mji wa Milton Keynes
Mzuka mnene
Ndani Ya Golden Lounge
Wana Twanga wakiwa katika pose na wazee wa MK
Twanga wakiwa na wadau wa Milton
********
Salam,
Ikiwa imebakia siku moja tu kabla ya show ya Milton Keynes Chalz Baba, Baby Tall na Maria walipata fursa ya kutembelea mji wa milton keynes kutembea na kusalimia wadau wa Milton. Twanga Pepeta wanapenda kutoa shukrani zao za dhati kwa wadau wa Milton walioweza kuja kuwasalimia na kuwapa kampani ya nguvu ikiwepo vinywaji na Nyama Choma Bila kumsahau Diego, Shelukindo, Rob,Fadhil Dadia na Ima.
Twanga wataangusha show kali ya Pili katika Ukumbi wa Golden Lounge Milton Keynes Tarehe 2 Desemba anuani ni Unit 35, Barton Road, Bletchley. Milton Keynes MK2 3LH.
Show hii Imeandaliwa na Urban Pulse Creative na Miss Jestina Blog.
Comments
Post a Comment