EEEEE KUMBE NDO ILIVYO KUWA...!!!

KISHINDO cha Jokate Mwegelo ni kizito, kimeingia ndani ya uhusiano wa brazameni, Naseeb Abdul ‘Diamond’ na Wema Sepetu kisha kuwafanya wawili hao kila mmoja kushika hamsini zake. Wema, amefunga virago, ameondoka nyumbani kwa Diamond, Sinza Madukani, Dar es Salaam kwa mtindo wa “wanakwenu kwa heri, nimechoka masimango, narudi nyumbani kwetu leo.” Madai ‘yanahiti pointi’ kuwa Diamond na Jokate wapo kwenye penzi jipya lenye nguvu, Wema ameligundua hilo, ameona ni maji marefu, kwa hiyo amejiweka pembeni kuepuka msongamano. Endela kusoma  hapa
CHECK OUT MAMBO YALIVYO KUWA NDANI YA TAKE ONE YA CLOUDS TV- EXCLUSIVE YA WEMA
Video kwa hisani ya www.kajunason.blogspot.com/


Comments

  1. kwakweli kikubwa ni kumuomba Mungu tu katika haya mambo, maana Mungu ndo huwa anajua awashike vipi wahusika/watu wake wapate ahueni ktk mambo yaendeleayo ktk jamii, kuhusu hili,am speechless

    ReplyDelete
  2. Wanaitwa/tunaitwa Wanawake!!Ahsante mpendwa.

    ReplyDelete

Post a Comment