FILAMU YA CLINIC LOVE YATOA ZAWADI YA BISUKUTI NA JUISI KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU BUGURUNI VIZIWI...!!

MSANII MOHAMEDI NICE AWAOMBA WASANII KUWASAIDIA WATU WENYE MAITAJI MAALUM...!!!
Msanii Mohamedi Nice 'Mtunisi' akiwambia wanafunzi wa shule ya Buguruni Viziwi wakae kwa mstari kwa ajili ya kuwagawia bisckuti na juisi alizowapelekea kama zawadi kwa watoto hawo leo
Mohamedi Nice 'Mtunisi' akimkabidhi box kwa mwanafunzi wa buguruni viziwa, Chacha Mwita kwa niaba ya wanafunzi wenzake leo

Mohamed Nice 'Mtunisi' akiwaaaga wanafunzi wa shule ya BugViziwi Baada ya kuwazawadia zawadi za juisi na biscuti leo
Habari na picha kwa niaba ya (www.burudan.blogspot.com)

Comments