HONGERA MRS.SAFIA KILIZI KWA KUHITIMU DEGREE YA PILI IN MSC ORGANISATIONL & COMMUNITY DEVELOPMENT KUTOKA CHUO KIKUU CHA LONDON METROPOLITAN UNIVERSITY...!!!
Pongezi kwa Mrs Safia Kiliza kwa kuhitimu degree ya pili (Master) Msc Organisational and Community Developmentkutoka katika chuo cha London Metropolitan University, Sherehe zilifanyika katika ukumbi wa Barbican Central London - United Kingdom
Mrs Safia akiwa na familia yake baada ya kupokea shahada yake
Kutoka kushoto mwandishi wa blog ya TZ-ONE Bw. Ally Muhdin, Mrs Safia Kilizi na Bw.Chichi
NICE ONE MWANAMKE ELIMU ASIKWAMBIE MTU HONGERA SANA DADA.XXXX
ReplyDelete