Mzee Yusuf akitoa neno kabla u usinduzi na kukata keki
Mkurugenzi wa Kundi la Jahazi Modern Taarabu, Mzee Yusuf akiwa kwenye meza ya keki wakati wa onesho maalum la kundi hilo kutimiza miaka 5 ya bendi yake hiyo lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee,jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Kundi la Jahazi Modern Taarabu, Mzee Yusuf (pili kushoto) akiwa na baadhi ya wadau wa karibu wa Bendi yeke ya Jahazi wakati wa kukata keki ya onesho maalum la kundi hilo kutimiza miaka 5
Mzee Yusuf akiwasili ukumbini huku mashabiki wake lukuki waliwa wamelizunguka gari aliloingia nalo
Baadhi ya waimbaji wa bendi ya Jahazi Modern Taarab wakiwa wametulia! Chezea color combo weeeeee
Fatuma ‘Mcharuko’, akiwaburudisha wapenzi wa Jahazi
Fatuma ‘Mcharuko’, akiwajibika.…
Mashabiki wa Jahazi wakufurahia makamuzi
Images via Michuzi
Comments
Post a Comment