Bob Junior aka Sharobaro President akiendeleza makamuzi
Hii ni Chocolate Flavour
Bob Junior akipagawisha mashabiki 'Oyoyo oyo, oyooooooooo'
Sharobaro President akiwakilisha ipasavyo! Full kushine pamoja na kutoa burudani ya uhakika

Mashabiki wakifurahia show
Bob Junior akiwa na number 1 wake fan Aziza
Bob Junior akiwa katika pose na washabiki wake Jane & Janet Subie
Dj Richie akiwa mitamboni
Omary ndani ya nyumba na washikaji
Dj Fugaflex akiendeleza mamabo
Washabiki wakifurahia show
Check out Bob Junior a.k.a. Sharobaro in 'Nanini' (Musema Kweli)
Check out Bob Junior a.k.a. Sharobaro in 'Nanini' (Musema Kweli)
Comments
Post a Comment