NASREEN KARIM AFUNGUA ENJIPAI SHOP HANDCRAFTS MADE BY MAASAI WOMAN @ KAUNDA DRIVE ROAD OYSTERBAY DAR...!!!


 Baadhi ya Bidhaa zikiwa kwenye Show Room ya ENJIPAI.
 Mrembo Nasreen Karim katika picha ya pamoja na baadhi ya Kinamama wa Kimasai wanaotengeneza bidhaa hizo.
Mrembo Nasreen Karim akitoa maelezo kuhusiana na Bidhaa zinazopatikana kwenye Duka ENJIPAI ambazo zinatengenezwa kwa Mikono ya Wanawake wa Tanzania Wajasiriamali.

 ICT Manager wa CFAO MOTORS Bw. Altaz Premji akimpongeza aliyekuwa Miss Tanzania (2008) Nasreen Karim wakati alipozindua Duka la bidhaa za Kiutamaduni zinazotengenezwa kwa Mikono ambapo bidhaa hizo zinatengezwa na wanawake wa Kimasai lilipo barabara ya Kaunda Drive Oysterbay jijini Dar es Salaam.
 Nasreen Karim katika picha ya pamoja na mama yake mzazi(katikati) sambamba na Aunty yake.

  Baadhi ya Wageni waalikwa wakila na kunywa wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa Duka hilo.
 Raia wa Kigeni wakibadilishana mawazo na mmiliki wa Duka hilo huku wakisifia bidhaa zinazopatikana katika duka hilo.













Comments