NEW BLOG: SHILINGI SHOP...!!!

Hallo! Rafiki,
Habari za kazi na Mihangaiko!
Naomba unirushie hii Blog yangu inayokusudia kuuza bidhaa mbali mbali kutoka UK na Japan kwa bei nafuu kabisa, Pia tunatoa ushauri   na dondoo za usimamiaji wa biashara ndogo ndogo, kupata faida na  kukua kwa biashara.

Nimatumaini yangu utanisaidia

wako,

Liberatus Musiba
Shilingi Shop Blogspot.Com

Comments

Post a Comment