TAARIFA YA MSIBA...!!

                              
Shabani J Kawawa kushoto akiwa na marehemu Jaffari Mfaume Kawawa
---
Familia ya Kawawa inasikitika kutangaza kifo cha marehemu Mzee Jaffari Mfaume Kawawa aliyefariki leo saa nne asubuhi, mazishi yatafanyika kesho saa kumi jioni Dar Es Salaam, Mbagala rangi 3, Saku jirani na Kent Secondary.

Taarifa zaidi wasiliana na Shabani Kawawa Lyca 07424714168


Comments