Maofisa wa kampuni ya tigo wakisaidia kutoa mizogo kwa ajili ya wa waathirika wa mafuriko
Aisa uhusiano wa Kampuni ya simu TIGO, Alice Maro (kushoto) akimkabidhi sehemu ya msaada walioutoa kwa ajili ya wathirika wa mafuriko ya mvua kwa Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa. Katikati ni Meneja wa Kampuni hiyo Dar es Salaam na Zanzibar Bw. Alex Msigara kulia ni Diwani wa Kata ya Upanga Magharibi Bw. Godwin Mmbaga
Picha na habari kwa hisani ya Lukaza Blog
Comments
Post a Comment