VODACOM TANZANIA YANGARA NA TUZO ZA SUPERBRANDS

 Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Kampuni wa Simu za mkononi Vodacom, Mwamvita Makamba akiongea machacha muda mfupi baada ya kampuni ya Vodacom Tanzania kukabidhiwa tuzo ya Makampuni yaliyofanya vizuri kwa mwaka 2011,(Super Brands)sherehe zilizofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Super Brands, Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Kampuni wa Simu za mkononi Vodacom, Mwamvita Makamba, wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi tuzo hizo kwa Makampuni yaliyofanya vizuri kwa mwaka 2011, iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkurugenzi wa Superbrands, Jawad Jaffer (kulia) ni Ofisa Matangazo wa Vodacom, Joseline Kamuhanda.

Comments

  1. bulgari replica watches replica watches cartier cheap watches replica about replica watches replica watches bulova replica bell ross watches wittnauer replica watches michele [url=http://allwatches-store.com/Breitling/]replica corp watches[/url] buy replica watches wholesale replica watches from singapore yellow face replica watches

    ReplyDelete

Post a Comment