Askari wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT na JWTZ wakijenga mahema ya muda ya kuwahifadhi waathirika wa mafuliko eneo la Mabwe Pande Karibu na Bunju B njia ya Bagamoyo jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya mahema yalio kamilika kujengwa
Wafanyakazi wa Chama cha Msalaba Mwekundu wakichimba na kufukia shimo la choo cha muda katika makazi ya waathilika na mafuliko eneo la Mabwe Pande jijini Dar es Salaam.Baadhi ya Mahema hayo ya muda yaliyojengwa eneo la Mabwe Pande jijini Dar es Salaam kwa ajili ya waathirika wa Mafuriko yanavyoonekana leo.
Moja wapo ya hema likiwa imefikia hatua za mwisho mwisho
---
Kwa wakazi wa UK Misaada bado inaendelea kupokelewa na kukusanywa mpaka mwisho wa mwezi huu wa January. Hivyo basi kwa wale wote walioshindwa kuweza kufika siku ya jumamosi kutoa michango bado nafasi ipo. Kumbuka hili ni janga letu wote tafadhali fanya sehemu yako kwa jinsi Mungu anavyokubariki.
KWA MAWASILIANO ZAIDI KUHUSU MISAADA WASILIANA NAJESTINA GEORGE 07404332910FRANK EYEMBE 07865594576BARAKA NYAMA 07816981577
KAMA UNA MCHANGO UNAWEZA KUDEPOSIT KATIKA ACCOUNT IFUATAYO:
BARCLAYS BANK
JINA: TANZANIA ASSOCIATION LONDON Account Number: 23374815
Sort Code: 20-72-89
ANDIKA JINA LAKO NA MAFURIKO AS REFERENCE
TUNAWASHUKURU NYOTE KWA KUJALI NDUGU ZETUContact us for more info;CHRIS LUKOSI 07903828119SIMON LOUIS (MOHSIN) 07950689243BRIAN (BABA NJOROGE) 07795160757HASSAN (RICHARD) 07405159255HQ - UNIT 92 THAMES INDUSTRIAL PARK, PRINCESS MARGARET ROAD, EAST TILBURY, RM18 8RHRHTell (+44) 01375 855917 Fax (+44) 01708202477
Comments
Post a Comment