Evans ambae anaratibu website ya www.elimubora.com akiwa anapokea cheti baada ya kuhitimu kozi fupi nchini India.
Amewataka watanzania hususan wadau wa masuala ya IT kufuatilia udhamini mbalimbali wa kozi fupi utolewao na chuo hicho kwa taarifa zaidi ingia katika libeneke lake la www.elimubora.com
tunampongeza sana ila apunguze manyamamanyama hayo ili aweze kutumia taaluma yake vizuri magonjwa moyo
ReplyDeletetunampongeza sana ila apunguze manyamamanyama hayo ili aweze kutumia taaluma yake vizuri magonjwa moyo
ReplyDelete