MREMBO HOYCE TEMU ALAMBA NONDOZ KUTOKA CHUO CHA DIPLOMASIA DAR ES SALAAM...!!!

 
Afisa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa ambaye amewahi kuwa Miss Tanzania 1999 na Mwandishi wa kitabu NAYAKUMBUKA YOTE Hoyce Temu akisubiri kutunukiwa Stashahada ya Uzamili katika Menejimenti ya Mahusiano ya Kimataifa (Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations) katika Mahafali ya Kumi na Sita ya Chuo cha Diplomasia jijini Dar es Salaam.
 Hoyce Temu akielekea kutunukiwa Stashahada yake.
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Benard Membe akimtunukia Afisa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa ambaye amewahi kuwa Miss Tanzania 1999 na Mwandishi wa kitabu NAYAKUMBUKA YOTE Hoyce Temu Stashahada ya Uzamili katika Menejimenti ya Mahusiano ya Kimataifa (Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations) katika Mahafali ya Kumi na Sita ya Chuo cha Diplomasia jijini Dar es Salaam.
 Hoyce Temu katika picha ya pamoja na Mdau Assah Mwambene.
 Hoyce Temu akiwa na mtoto wake Ruby.
 Hoyce Temu katika picha ya pamoja na familia yake. Kutoka kushoto ni Dada zake Mrs. Shose Minja, Pendo Matee Makwaiya, Rafiki yake Emelda pamoja na Mama yake Mdogo Bi. Edith Max.
 Hoyce Temu katika picha ya pamoja na rafiki yake
  Hoyce Temu akiwa na mmoja wa wahadhiri wa chuo hicho.
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Benard Membe katika Picha ya Pamoja na wahitimu Stashahada ya Uzamili katika Menejimenti ya Mahusiano ya Kimataifa (Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations).  Wa tatu kutoka kushoto waliosimama ni Hoyce Temu. 

Comments