R.I.P SAID TAMIMU ALLY...!!!

Ndugu zangu ninasikitika kuwajulisha kuwa  Saidi Tamimu amefariki dunia Usiku wa kuamkia Jumapili  na mazishi yalifanyika jana saa kumi jioni makaburi ya Tabata Segerea. 


Natoa shukrani zangu za dhati na kwa niaba ya familia ya ndugu Said Tamimu Ally. Nashukuru sana kwa wote waliotoa michango yao ya mali na hali kwa ajili  ya kuokoa maisha ya  ndugu yetu Tamimu ambaye alikuwa akisumbuliw ana saratani.

Shukrani pekee ziwaendee ndugu walioko UK, USA Norway, Canada Muscat, Dar es salaam,Tabora, Arusha na sehemu nyinge nyingi  kwa msaada wao wa hali na mali ikiwemo ushauri na kutoa pole. 
Asante sana. Soma Historia Yake Hapa

Comments

  1. unapenda kutujulisha au unasikitika kutujulisha?

    ReplyDelete

Post a Comment