Jumuiya ya Watanzania London inapenda kujumuika na mamilioni ya watu duniani wakiwemo Watanzania na marafiki wote wa Watanzania, kuwatakia sikukuu njema ya mapinduzi ya Tanzania Visiwani (Zanzibar).
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake, ibariki Africa na watu wake na dunia nzima kwa ujumla.
Comments
Post a Comment