UNAMUAMINI YUPI ZAIDI?

Kheri Ya Mwaka Mpya,

Bila shaka una nguvu mpya na malengo zaidi.Nakutakia kila la kheri katika kuyatimiza yote na hata ziada.Mojawapo ya malengo yangu ya mwaka huu ni pamoja na ku-share zaidi ninachokiandika au kukichapisha mtandaoni.Leo naomba nianze na hiki kipima joto.Kuna swali nimeuliza katika kiunganishi hiki http://www.bongocelebrity.com/
2012/01/10/unamuamini-yupi-
zaidi/#axzz1ilV95iaQ.

Nini maoni yako? Unamuamini nani zaidi? Kwanini?

Asante. 

Comments