ANGALIA NA SIKILIZA UJUMBE WA BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI MH. MWANAIDI MAAJAR...!!!

Angalia na sikiliza kwa makini ujumbe kutoka kwa Balozi wa Tanzania Mh. Mwanaidi Maajar, akiongelea kuhusu mshikamano wa wanawake, na kutaka kufanya juhudi, za kuwa kitu kimoja, kujijenga na kujitahidi kwa elimu ili kujiendeleza kimaendeleo zaidi

Comments