Mwanamuziki Shilole naye alikuwepo.
Mmoja wa washiriki wa ‘Vaa, Imba, Cheza Kama Rihanna’ akijinafasi.
AY (kushoto) na Mwana FA wakikamua
Dogo Aslay akifanya vitu vyake.
Temba akichana mistari.
Chegge (kushoto) na Temba wakiwika stejini wakiuimbisha umati kituoni hapo.
Mwanamuziki wa 'Twanga Pepeta', Luiza Mbutu, akiimba na kucheza
Msafiri Diouf akiwapa raha mashabiki.
Wanenguaji wa Twanga Pepeta wakionyesha ‘matindo’.
Zamu ya Wakali Dancers.
East African Melody wakiwa kazini.
Kina ‘Rihanna’ wakiwa pamoja.
Mashabiki lukuki walioijaza Dar Live
---
KITUO cha maraha cha Dar Live kilichoko Mbagala jijini Dar kilirindima kwa vifijo vya burudani ya muziki kutoka vikundi mbalimbali vya wasanii.
Ilikuwa ni ‘kufuru tupu’ wakati wasanii AY akishirikiana na Mwana FA walipotoana jasho na wenzao kina Chegge na Temba kutoka katika kundi la Wanaume Family yote hayo yakisindikizwa na burudani kutoka kundi la taarab la East Africa Melody, Wakali Dancers, Dogo Aslay, Shilole na bendi ya muziki wa dansi ya African Stars 'Twanga Pepeta.

Comments
Post a Comment