Mawodi yakiwa wazi hakuna cha daktari wala nurse
Maskini mgonjwa huyu akiwa maefungwa miguu huku amelala chini bila msaada wowote ule
OMG I'm speechless!
Hii komesha
Mawodi meupeeeeeeeeee
Chumba cha mgonjwa kikwa kitupuuuuuuu
Naona wote wamegoma si madaktari pekee yao
---
Najiuliza nakosa majibu! Hivi kweli kabisa serekali inashindwa kabisa kutatua hili tatizo na siku tu zinazidi kwenda watu wanateseka kiasi hiki? Eee hizi serekali za third world countries jamani zinatia aibu sana. Yaani sielewi kabisa kwanini?
Picha kwa hisani ya Chingaone
serikali haitibiwi muhimbili so sio tatizo kubwa wako busy kujadili na kupitisha posho za wabunge kuwa 330000 per day
ReplyDeleteHawa viongozi we2 bana wanafikiria matumbo yao tu, kutatua matatizo ya wananchi wao waliowaweka hapo walipo wala hawana hata habar coz wenyewe hawatibiwi hapa. Yaan haki ya Mungu tz tunapoelekea cpo kwa kweli..
ReplyDeleteNdo pakutopigia kura CCM hapo. Lakini kama kawaida 2015 watawaletea vishawishi na vitisho mtawarudisha madarakani. Hawa viongozi wetu wasingekuwa wanapigiwa kura wasipofanya la maana haya mambo yangebadilika Bongo. Usipofanya kazi anawekwa mwingine anayeweza kuifanya kazi hiyo hiyo na yeye asipoanya anawekwa mwingine mtiririko huu utawapa akili washwenzi hawa.
ReplyDeletemmmmmhhhhhhhh!!!!!!!!
ReplyDeletenauma sn halaf wao wanatibiwa nje ya nchi na utajiri wanapata kupitia migongo yetu
ReplyDelete