Misa ya shukurani ya Marehemu
Julius Caesar Mwasongwe
Sekela Davis Mwaikambo pamoja na familia yote ya Mwasongwe/Mwaikambo wanapenda kuwakaribisha kwenye misa maalum ya shukrani ya ndugu yao mpendwa Julius Mwasongwe itakayo fanyika siku ya jumapili tarehe 12/02/12 Saa 4:30 asubuhi katika Kanisa la Barking Baptist, Linton’s road, Barking IG11.
Karibuni sana tujumuike pamoja kumshukuru Mwenyezi Mungu.
Amen.
Comments
Post a Comment