Mzee Yusuf akifanya vitu vyake
Warembo wa TV Reality show Growing up Africans wakiwakilisha
Mfalme akipagawisha mashabiki na mavituz yake
Mzee Yusuf akikabidhiwa zawadi na mapromoter wake ya Statue of Liberty kama kumbukumbu ya tour yake
Warembo waliokuwepo kushow support
Mashabiki kibao palikuwa hapatoshi
Mzee Yusuf katika picha ya pamoja na baadhi ya mashabiki zake
Mzee Yusuf katika pose na mashaniki zake aliye chuhumaa ni Johnson Lijwanga wa kipindi cah Growing up African
Kwa picha zaidi tembelea semaukweri.blogspot.com
Comments
Post a Comment