RASHIDI MATUMLA AOMBA KUSAPOTIWA NA KAMBI YA ILALA AFULIWA KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE MWINGINE NA MANENO OSWARD ...!!!


Kocha Mkongwe wa mchezo wa masumbwi Nchini , Habibu Kinyogoli (kushoto) akimwelekeza bondia Rashidi Matumla 'Snake Man' jinsi ya kurusha Ngumi
wakati bondia huyo alipotembelea kwa ajili ya kujifua katika Kambi ya
Ilala, Dar es salaam jana Matumla anajiandaa na mpambano wake mwingine
dhidi ya Maneno Osward litakalofanyika tareha 25 katika ukumbi wa PTA
Sabasaba Dar es salaam.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

Comments