SIKILIZA SEHEMU YA PILI YA MAHAOJIANO KATI YA PRO. LIPUMBA NA MTANGAZAJI MUBELWA BANDIO...!!!

Sehemu ya pili ya mahojiano na mwenyekiti wa taifa wa chama cha Civic United Front (CUF) ambaye pia alikuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1995, 2000, 2005, 2010),
Katika sehemu hii, amezungumzia utata wa chama chake kuwa sehemu ya upinzani Tanzania Bara ilhali ni sehemu ya serikali Zanzibar, mambo yaliyo katika ilani ya CUF yaliyojumuishwa katika serikali ya Zanzibar, suala la chama chake kutoungana na CHADEMA kuing'oa CCM, na pia ni vipi tunaweza kuenzi umoja tukithamini u-Bara na uVisiwani. Mwisho anaeleza mambo ambayo CUF itafanya kuhakikisha kuwa Tanzania haiwi tegemezi wa misaada ya wahisani.
Karibu umsikilize

Comments