TANGAZO LA FELLOWSHIP LONDON...!!!


KARIBU KARIBU KARIBU
Ibada ya Kiswahili london inapenda kuwakaribisha wakristo wote wazungumzao Kiswahili kwenye fellowship itayofanyika katika  kanisa la kilutheli kuanzia saa kumi na mbili jioni (6.00pm)Jumamosi ya tarehe 11/02/12.kwenye fellowship hiyo kutakuwepo na mafundisho ya neno la Mungu pamoja na maombezi kwa wagonjwa na wenye shida mbali mbali address ni:



St Anne Lutheran Church

Gresham Street
London  EC2V 7BX
Tel.020 7606 4986
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Mtheologia Moses shonga 07791070103
Mchungaji Tumaini Kallaghe 07956522072

Usafiri wa mabasi pamoja na treni unapatikana
kituo cha treni (underground Central line) na mabasi ni ni St Paul Station. 5min walk kutoka station.
Buses numbers 172, 100,242,8,25
MKARIBISHE NA MWENZIO


Comments