TASWIRA ZA MISA YA KUMUAGA MPENDWA WETU, CHRISTAVINA CRYOR NCHINI MAREKANI...!!!

 Pastor Alan Desilver akiendesha ibada ya kumuaga mpendwa wetu, Christavina Cryor kwenye kanisa la Seventh Day Adventist, lililopo Takoma Park, Maryland, Mtaa wa Carroll.
 Mume wa Marehemu, Lavorn Cryor akiongea machache kuhusu Christavina huku akiwa amembeba mtoto wao mdogo ambae alifikisha miaka 2 siku mbili baada ya kifo cha mama yake.
 Kaka ya Marehemu, Boaz Kusaga akiongea machache kuhusu Christavina.
 Michelle Hyason, mfanyakazi mwenzake na marehemu akiongea machache kuhusu Christavina.
 Teddy Gallus, Rafiki ya marehemu akiongea machache kuhusu Christavina.
 Shukurani Magoma, shemeji ya marehemu akisoma wasifu wa Christavina.
 Kutoka kushoto ni Ghati Matinyi, Vickie Keita na Deborah Chemkaka wakiimba wimbo maalum kwa ajili ya marehemu.
 Kushoto ni Mama mzazi wa Christavina aliyekuja toka Tanzania akiwa pamoja na Mume wa marehemu, Lavorn Cryor.
 Kaka ya marehemu, Boaz Kusaga akiwa na Mama mzazi.
 Kushoto ni Dada ya marehemu akiwa amembeba mwanae, mtoto wa kwanza wa Christavina wakiwa pamoja na mdogo wa marehemu.

Ndugu, marafiki na jamaa waliofika kwenye Ibada hiyo.

 Ndugu na marafiki wa karibu na familia (Teddy & William Nasson) wakisaidia kuwaongoza Watanzania, ndugu, jamaa na marafiki waliofika kwenye Ibada ya kumuaga Christavina Cryor.
  Mmoja ya Watanzania kitia saini kitabu cha wageni.

 Jamaa na marafiki wakitoa mkono wa pole baada ya kutoa heshima za mwisho.




RATIBA YA MAZISHI
Mazishi yatafanyika 10.30am Jumatatu Februari 20 katika makaburi ya Gate of Heaven yaliyoko 13801 Georgia Avenue Aspen Hill (wakati mwingine GPS itaonyesha Silver Spring), MD, 20906. Tutakutana  8.30am J.B Jenkins Funeral Home iliyoko 7474 Landover Rd, Landover, MD 20785.  Msafara wa mazishi utaondoka J.B Jenkins Funeral Home 9 am kuelekea Gate of Heaven.
Kwa mara nyingine asanteni sana na tunamtakia mpendwa wetu Christavina, pumziko jema.
Shukrani Magoma


Kwa habari zaidi mpigie: Magoma (202.607.1976); Adelaida (240.602.3183); Matinyi (301.792.2832);  Teddy (301.254.4169); Makaya (202.460.1044)

R.I.P Christavina
Picha na habari kwa hisani ya Vijimambo

Comments

  1. So sad may her soul R.I.P

    ReplyDelete
  2. Duuhh inauma sana,Bwana alitoa na Bwana alitoa.

    ReplyDelete
  3. Asante kwa picha hizi tuna shukuru sana na roho ya rafiki yetu mpendwa christa ilazwe mahala pema peponi.

    ReplyDelete

Post a Comment