Msanii Mkongwe wa bendi Kwongwe ya Msondo Ngoma Music, Muhidini Gurumo akiwa katika hospital ya Taifa Muhimbili, Dar es salaam jana, akipimwamapigo ya Moyo na Ofisa Muuguzi Msaidizi wa Hospital hiyo, Suraiya Mohamed alipolazwa kufanyiwa uchunguzi wa kina toka mwishoni mwa wikiiliyopita.
(Picha na www.burudan.blogspot.com)
---
MWANAMUZIKI maarufu wa bendi kongwe ya Msondo ngoma, Muhidin Gurumo
aliyelazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ugojwa wa shinikizo la
damu anaendelea vizuri.
Akizungumza na Dar es Salaam jana,Msemaji wa bendi hiyo Rajabu Mhamila
'Super 'D' alisema Afya ya Gurumo inaendelea vizuri na wakati wowote
anaweza kuruhusiwa kutoka hospitalini hapo.
Alisema kuwa madaktari wanataka kuchukua vipimo vya mwisho kwa kina
kujua kila kitu kinachop msumbua katika mwili wake.
"Kwa sasa tunashukuru Mungu afya ya Gurumo inaendelea vizuri tofauti
na mara ya kwanza na akiendelea hivi anaweza hakurusiwa hivi
karibuni"alisema Super D.
Hata hivyo aliwataka wapenzi wa bendi hiyo kumuombea duwa mwanamziki
huyo ili apone upesi pia aliongeza kwa kusema maonesho yao ya wikii
hii ni kama ifuatavyo Alhamisi watakuwa Mwandege Mkoa wa Pwani,Ijumaa
watapiga katika viwanja vya Lidaz Clab jumamosi watakuwa katika
viwanja vya TCC Sigara na Jumapili watamaliza wiki endi katika ukumbi
wa Max Bar uliopo Ilala Bungoni alisema Super D.

Comments
Post a Comment