CARGO STARS YASHINDA TUZO YA TEKNOLOJIA, UBORA NA UGUNDUZI...!!!

  Mwakilishi wa Kampuni ya Cargostars Limited, Viola Lema, akipokea cheti cha Ubora katika shughuli za Huduma bora kwa wateja kutoka kwa Rais wa Kampuni iliyoandaa tuzo hizo
 Charles Tabet. Viola Lema (katikati) na Lulu Komanya wa Kampuni ya Cargostars, wakipokea tuzo hiyo kwaniaba ya kampuni yao kutoka kwa Rais wa Kampuni iliyoandaa tuzo hizo, Charles Tabet.
 Mwakilishi wa Kampuni ya Cargostars Limited, Viola Lema, akitoa maelezo mafupi kuhusu kampuni yao hiyo wakati wa hafla hiyo
 Baadhi ya waliotunukiwa vyeti hivyo, wakionesha vyeti vyao
Washiriki kutoka Tanzania, Kenya na Poland, wakiwa na Rais wa Kampuni iliyoandaa tuzo hizo, Charles Tabet (wa tatu kushoto) pamoja na tuzo zao.

Comments