Home is where my heart resides.....
Watanzania wenzangu, tumshukuru muumba kwa kutujalia nchi nzuri yenye amani na utajiri wa maliasili ambao tumeajliwa.
Tuliombee pia taifa liondoke katika shida ya migomo, mafisadi, mgao waumeme, magonjwa, maafa na taabu zote za dunia.
Haijalishi nipo wapi sasa hivi, my heart is at home.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Abdul Hafidh a.k.a Abdul wa Maisha Plus
Brussels, Belgium
Comments
Post a Comment